Karibu Kwenye mtandao wa mradi wa Kindersite.

Mtandao hu ni wa majaribio tu. Sababu kuu ya mtandao huu ni kuhakikisha kuwa kurasa zote na maelekezo yao yanafanya kazi sawa sawa.

Mradi wa Kindersite ulianzishwa ili kuvumbua utaratibu kwenye mtandao ambao utasaidia katika utafiti kuhusu matumizi ya teknolojia na wasomi wachanga na pia kutoa elimu kupitia mtandao. Mradi huu, amabo sio wa kibiashara, una malengo mawili:

  1. Utayarishaji wa mtandao ambao ni salama kwa matumizi ya watoto wachanga aidha wakiwa pekee yao au wakiwa na walinzi wao. Itawawezesha kutafuta na kupata kurasa kwenye mtandao ambazo zimechunguzwa na ni za manufaa kwao.
  2. Uvumbuzi wa kifaa cha utafiti kwenye mtandao ambao utawawezesha watafiti wa kielimu kubaini uwezo wa teknolojia na aina ya habari inayotolewa kwenye kurasa za mtandao kama kifaa cha masomo na mafunzo ya lugha kwa watoto wachanga.(tazama Matokeo ya Utafiti )

Tazama orodha ya walimu wa nyumbani na wazazi wanaoshiriki katika mradi huu (familia 40 katika nchi 6). Walimu Wa Nyumbani Na Wazazi >>

 
Wanachama waliojiandikisha

kujisajili

Jina    i

Mradi wa Kindersite unahitaji usaidizi WAKO ili kukua chombo bora zaidi cha masomo ya watoto wadogo kwenye mtandao. Tafadhali chukua muda kutazama sehemu mbali mbali ambazo waweza kuchangia.>>>

Tazama orodha ya wadhamini wetu na watu wengine binafsi ambao wamejitoleaili kuufanikisha mradi huu. Tazama orodha >>>

historia ya mradi wa Kindersite, Ni wakati gani bora kuanza kujulisha watoto kuhusu matumizi ya tarakilishi' (PDF Format,size 110 KB)

Tazama shule ambazo zinashiriki katika mradi huu (shule 197 katika nchi 32). Shule >>>

more >>>    

Debbie Mills, Campbell-Reed Learning Center, Manchester, Kentucky, USA

Mtandao wenu ni mzuri na nimeupenda sana. Kila wakati ninapoutembelea, mimi hupata jambo jipya. Nimeweza kuwaonyesha walimu wengine katika shule 5 ambazo mimi hufanya kazi nazo na wote wanapanga kuutumia. Wanafunzi wanapenda hadithi na michezo zilizomo. Shukrani nyingi kwa kutuwezesha kuutumia mtandao wenu.

Mission | Description | Endorsements | Link to the Kindersite Project | Participating Schools | Tell a friend |My page (sample) | Research Result Scenarios | Advisory Board | Content Owners | About us |
Privacy and terms of use

Ikiwa unapenda kutoa usaidizi wa aina yeyote kwa mradi wa kindersite, tafadhali tuandikie katika: info@kindersite.org

© Kindersite.org 2004. Tafadhali soma ilani